KLABU ya Yanga hivi karibuni ilifanikiwa kupiga hatua na kuingia katika utaratibu mpya wa
KLABU
ya Yanga hivi karibuni ilifanikiwa kupiga hatua na kuingia katika
utaratibu mpya wa kuanza kutoa magazine ya klabu itakayokuwa inatolewa
mara nne kwa mwaka.
Yanga
walitangaza kuwa watakuwa wanatoa magazine inayohusiana na mambo
mbalimbali kuhusu klabu yao, historia za wachezaji wao na mambo
mbalimbali ya timu hiyo.
Yanga
magazine itakuwa inatolewa mara nne kwa mwaka yaani kila baada ya miezi
mitatu, baada ya habari hizo kutoka na magazine hiyo kuanza kusambaa
mtaani, mashabiki wanaoaminika kuwa wa Yanga walianza kucomment na
kumwambia Afisa Habari wa Simba Haji Sandey Manara afanye utaratibu kama
huo kwani Yanga ni mfano wa kuigwa.
USISAHAU KULIKE PAGE YETU ILI KUPATA HABARI KWA HARAKA=>
BOFYA HAPA CHINI UONE HABARI HII LIVE>>

No comments: