Mkurugenzi mtendaji wa bodi hi
Mkurugenzi
mtendaji wa bodi hiyo Boniface Wambura amesema Simba imeonywa kwa kosa
la kumsimamisha kwenye benchi la ufundi kocha wao msaidizi Masoud Juma
raia wa Rwanda kwenye mchezo wao na Njombe Mji bila kuwa na vibali vya
kufanya kazi nchini.Mbali na onyo hilo klabu ya Simba imeadhibiwa kwa kupigwa faini ya Tsh. 300,000 kwa kosa la kuchelewesha kuwasilisha orodha ya majina ya wachezaji waliocheza mchezo wa siku hiyo. Wambura amesema Simba waliwasilisha maji
USISAHAU KULIKE PAGE YETU ILI KUPATA HABARI KWA HARAKA=>
BOFYA HAPA CHINI UONE HABARI HII LIVE>>
No comments: