KLABU ya Yanga hivi karibuni ilifanikiwa kupiga hatua na kuingia katika utaratibu mpya wa



KLABU ya Yanga hivi karibuni ilifanikiwa kupiga hatua na kuingia katika utaratibu mpya wa kuanza kutoa magazine ya klabu itakayokuwa inatolewa mara nne kwa mwaka.
Yanga walitangaza kuwa watakuwa wanatoa magazine inayohusiana na mambo mbalimbali kuhusu klabu yao, historia za wachezaji wao na mambo mbalimbali ya timu hiyo.

Yanga magazine itakuwa inatolewa mara nne kwa mwaka yaani kila baada ya miezi mitatu, baada ya habari hizo kutoka na magazine hiyo kuanza kusambaa mtaani, mashabiki wanaoaminika kuwa wa Yanga walianza kucomment na kumwambia Afisa Habari wa Simba Haji Sandey Manara afanye utaratibu kama huo kwani Yanga ni mfano wa kuigwa.
https://matowoblog.blogspot.com/2017/02/blog-post.html USISAHAU KULIKE PAGE YETU ILI KUPATA HABARI KWA HARAKA=>
BOFYA HAPA CHINI UONE HABARI HII LIVE>>

No comments: